Leteipa The King – Dwanzi Lyrics

Verse 1
Unashout na nguvu but siskii kile unasema babe,
Unanitoa roho,
Naunanikaba koo,
Kumbukuka mi sio wazungu wale unacheki kwa
sinema babe,
Sometimes huwa naboo
Kwanza nikiwa sina dooh
Nikikosea unaexpect kwangu iwe burudani,
But mi nikikosa inawa scundle mob kwa majirani,
You are so lucky niko humble sipendi visirani
Ningekulamba likofi open your mouth nijaze miti
ndani

Hook
Tukikosana unajaza tu matusi kwa status, ndio
nicheki nijikalie
Ati heri kudate mbuzi ama homo erectus kuliko
fisi linivamie
I feel like running away, nikajipende peke yangu,
But i enjoy all the pain siwezi kuacha mpenzi
wangu

Chorus
kabujubuju, wewe kwangu ni kama
mihadarati(Despite the effects am addicted to
you)
Na sio juju you are the only cockroach in my
kabati (You are my prefect what you say i will do)
Majina yote nitakuita ill adore you like my granda
(Despite the effects am addicted to you)
Ill protect you like my sister respect you like my
mama (You are my prefect what you say i will do)

Verse 2
When you are happy i feel so lucky coz you make

it sweet and bulky chumbani,
Utamu wa mayai,
Na flavour warm kama chai
But when you are angry, its so ugly miaka laki
nikiwa hungry jangwani
Inawasha ka dhafai,
Na lethal kama rungu ya masai
You treat me worst than a thief heri kamiti ndani
Sikuhizi hug ama kiss wataka risiti kwani,
Siku hizi chat ni madiss kivyumba vya burudani
words tamu kama please, ninakumiss
zilidissapear kwani