Leteipa The King – Baki Na Mimi Lyrics
INTRO: (Unanikomesha) Uhhhhhh (Unanikomesha) (Unanikomesha) Ni vampK (Unanikomesha) 254 (Big Daddy) VERSE 1 Ukidunga kamini Gunia Gauni ama Dera ,Bado we ni mashini.. Sijui nikwanini, Nikikuona nahisi nginyera inakata maini.. Wanashangaa ati Niko Boring na hauendagi kwao Wanasambaza nyori na hatukulagi kwao Bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao Hata tukiwa na njaa tunala story …